Lugha Nyingine
Sherehe ya harusi ya kundi la maharusi yafanyika Tianjin, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 21, 2026
![]() |
| Wanandoa wapya wakishiriki kwenye harusi ya kundi la maharusi katika Eneo la Jizhou la Mji Tianjin, kaskazini mwa China, Mei 20, 2026. (Xinhua/Li Ran) |
Sherehe ya harusi ya kundi la maharusi, iliyoonesha mafungamano ya mvuto wa utamaduni wa jadi wa China na mawimbi mapya ya ustaarabu imefanyika katika Eneo la Jizhou la Mji Tianjin, kaskazini mwa China jana Jumatano. Wanandoa wapya kumi na wanne waliofunga ndoa wakiwa wamevalia mavazi ya kijadi ya China walishiriki kwenye harusi hiyo ya kundi wakifuata mila za harusi za kijadi na pia wameonyesha moyo wa kuhimiza hamasa wa mtindo mpya.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




