Lugha Nyingine
Teknolojia za kidijitali zang'aa kwenye Maonyesho ya 22 ya China ya Mambo ya Utamaduni ya Kimataifa (Shenzhen) (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 25, 2026
![]() |
| Watembeleaji wakionekana wakati wa kujaribu vifaa changamani vya VR kwenye Maonyesho ya 22 ya China ya Mambo ya Utamaduni ya Kimataifa huko Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, Mei 24, 2026. (Xinhua/Liang Xu) |
Maonyesho ya 22 ya China ya Mambo ya Utamaduni ya Kimataifa (Shenzhen) yalianza Alhamisi wiki iliyopita katika mji wa kisasa wa Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China.
Maonyesho hayo ya siku tano, ambayo yanaonyesha hasa maendeleo ya mambo ya utamaduni, yanaweka mkazo katika kuongeza uwezo wa kidijitali wa AI kwa mambo ya utamaduni, na ukuzaji wa nguvukazi mpya za uzalishaji zenye sifa bora, na yamekusanya rasilimali za hali ya juu za mambo ya utamaduni ya ndani na nje ya China na mambo ya uvumbuzi.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




