Mitindo ya mavazi yawa kivutio katika Tamasha la Utamaduni la Siku ya Afrika mjini Beijing, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 25, 2026
Mitindo ya mavazi yawa kivutio katika Tamasha la Utamaduni la Siku ya Afrika mjini Beijing, China
Mwanamke aliyeovalia vazi la Kiafrika akishiriki kwenye Tamasha la Utamaduni la Siku ya Afrika mjini Beijing, mji mkuu wa China, Mei 23, 2026. (Picha kwa hisani ya waandaaji/kupitia People’s Daily Online)

Jumamosi, Mei 23 Tamasha la Utamaduni la Siku ya Afrika kwa Waafrika wanaoishi China lilifanyika mjini Beijing, mji mkuu wa China likivutia watu wengi kuja kujionea utajiri wa utamaduni wa Afrika na mambo mbalimbali yanayowakilisha ushirikiano na ukaribu wa muda mrefu wa kati ya China na Afrika. Katika tamasha hilo, moja ya vivutio vikubwa ilikuwa mitindo ya mavazi ya kijadi kutoka tamaduni mbalimbali za Afrika. Siku ya Afrika huadhimishwa kila mwaka Mei 25.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha