Katibu Mkuu Xi Jinping Atoa Matumaini ya Udhati Kwa Vijana wa Zama Mpya (14)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 27, 2026
Katibu Mkuu Xi Jinping Atoa Matumaini ya Udhati Kwa Vijana wa Zama Mpya

"Ninawatumai ninyi mtakuwa na matumaini makubwa ya kutupia macho siku za baadaye, kuwa na nia thabiti ya kuchapa kazi kwa nguvu kubwa ili kujipatia mafanikio, kuwashirikisha vijana wengi zaidi kuunganisha utafutaji wenu binafsi na mambo makuu ya maendeleo ya nchi, kila mmoja anajikita katika kazi yake na kufanya juhudi za kujipatia mafanikio mapya, na kutoa mchango wa nguvu za ujana wenu kwenye safari mpya," wakati siku ya vijana ya Mei 4 ilipowadia, katibu mkuu Xi Jinping alipojibu barua ya vijana waliopewa Nishati ya Mei 4 ya Vijana wa China na Nishani ya Vijana Watangulizi wa Zama Mpya, alitoa salamu za pongezi za sikukuu na kutoa matarajio yake kwa vijana wa makabila mbalimbali ya China.

Katibu mkuu Xi Jinping siku zote anawakumbuka vijana, kuwafuatilia, na kupenda kusikiliza maoni ya vijana, yeye ni rafiki wa vijana anayewaelewa, anayependa kusaidia kazi za vijana, na anayewaongoza vijana kufuata njia ya kujiendeleza.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha