Maonyesho ya Biashara ya Shughuli za Utalii za Kimataifa ya ITB China 2026 yaanza Shanghai (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 27, 2026
Maonyesho ya Biashara ya Shughuli za Utalii za Kimataifa ya ITB China 2026 yaanza Shanghai
Mfanyakazi akizungumza na mtembeleaji kwenye banda la Brazil katika Maonyesho ya Biashara ya Shughuli za Utalii za Kimataifa ya ITB China 2026 mjini Shanghai, mashariki mwa China, Mei 26, 2026. (Xinhua/Chen Aiping)

Maonyesho ya siku tatu ya biashara ya shughuli za utalii ya ITB China 2026, ambayo ni maonyesho ya biashara ya shughuli za utalii yanayolenga soko la utalii la China, yameanza rasmi jana Jumanne mjini Shanghai, mashariki mwa China, huku taasisi na kampuni zaidi ya 900 za utalii kutoka nchi na maeneo 85 zikishiriki kwenye maonesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha