Kampuni ya Huzhou ya Shirika la Gridi la China yajenga mtandao wa umeme ulio wa kijani na uwezo zaidi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 28, 2026
Kampuni ya Huzhou ya Shirika la Gridi la China yajenga mtandao wa umeme ulio wa kijani na uwezo zaidi
Picha iliyopigwa Mei 27, 2026 ikionyesha njia za kusafirisha umeme za kituo cha umeme cha kuhifadhi nishati katika Wilaya ya Changxing ya Mji Huzhou, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China. (Xinhua/Xu Yu)

Katika miaka ya hivi karibuni, kampuni ya usambazaji umeme ya Huzhou ya Shirika la Gridi la Kitaifa la China katika Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China imekuwa ikihimiza hatua kwa hatua uboreshaji wa gridi za umeme za ngazi ya wilaya, ikisukuma mbele kazi ya kuunganisha vyanzo vya nishati mbadala kwenye gridi za umeme, na kujitahidi kujenga gridi ya umeme iliyo salama, ya kijani na yenye uwezo zaidi kwa teknolojia ya kisasa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha