Lugha Nyingine
Kanivali ya roboti yafanyika kwenye Maonyesho ya AI Duniani 2026 mjini Tianjin, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2026
![]() |
| Watu wakifurahia onyesho lililofanywa na roboti, huko Tianjin, kaskazini mwa China, Mei 28, 2026. (Xinhua/Sun Fanyue) |
Kanivali ya roboti, ambayo ni sehemu moja ya Maonyesho ya AI Duniani Mwaka 2026, imefanyika kwenye kituo cha utamaduni cha Tianjin kaskazini mwa China jana Alhamisi. Kwenye kanivali hiyo shughuli mfululizo zikiwa ni pamoja na maonyesho ya roboti, mashindano ya roboti na onyesho la jukwaani la roboti zimewajulishia watazamaji hali mbalimbali ya sayansi na teknolojia na maisha ya kutumia teknolojia janja.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




