Lugha Nyingine
Nishati ya kijani yahimiza maendeleo yenye sifa bora katika Mkoa wa Xizang, China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2026
Mwaka 2026 ni wa maadhimisho ya miaka 75 tangu kukombolewa kwa njia ya amani kwa Mkoa Unaojiendesha wa Xizang kusini magharibi mwa China.
Katika miaka ya hivi karibuni, mkoa huo umeongeza juhudi zake za kuendeleza nishati safi, ukilenga kufikia maendeleo yenye sifa bora.
Katika Mwaka 2025, uwezo wa mashine za kuzalisha umeme kwa nishati safi katika mkoa huo wa Xizang ulizidi kW milioni 13. Asilimia 99 ya umeme wa mkoa huo ilitoka kwenye nishati safi, ambayo ni ya juu zaidi nchini China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




