Lugha Nyingine
Eneo la Kiini cha Mambo ya Utawala la Beijing labadilika kuwa eneo la mambo ya kisasa lenye nguvu hai baada ya kuboreshwa upya (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2026
![]() |
| Picha hii iliyopigwa Mei 29, 2026 ikionyesha mandhari ya Eneo la Kiini cha Mambo ya Utawala la Beijing. (Xinhua/Ju Huanzong) |
Kutoka mwaka 2016 hadi 2026, Eneo la Kiini cha Mambo ya Utawala la Beijing limepitia muongo mmoja wa mipango na maendeleo. Katika miaka hiyo kumi iliyopita, mabadiliko dhahiri yametokea katika eneo hilo, na eneo hilo limekuwa eneo la mambo ya kisasa linalojaa nguvu hai.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




