Lugha Nyingine
Kenya yafanya sherehe za Siku ya Madaraka (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 02, 2026
![]() |
| Ndege za kivita za Jeshi la Anga la Kenya zikiruka kwa mpangilio juu ya Uwanja wa Wajir kwenye gwaride la Siku ya Madaraka katika Kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya, Juni 1, 2026. (Picha na Kelly Ayodi/Xinhua) |
Kenya ilifanya sherehe za Siku ya Madaraka jana Jumatatu kuadhimisha siku hiyo katika mwaka 1963 ambapo nchi hiyo ya Afrika Mashariki ilipata uhuru wake wa kujitawala.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




