Hali ya Ikolojia ya Ziwa Ulan Suhai katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China Yaboreshwa (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 03, 2026
Hali ya Ikolojia ya Ziwa Ulan Suhai katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China Yaboreshwa
Picha iliyopigwa Mei 31, 2026 ikionyesha mandhari ya Ziwa Ulan Suhai katika Urad Front Banner ya Bayannur, Mkoa wa Unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Li Zhipeng)

Ziwa Ulan Suhai ni ziwa kubwa zaidi la maji safi katika maeneo ya mtiririko wa maji ya Mto Manjano nchini China. Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya mitaa ya eneo la ziwa hilo imechukua hatua mbalimbali za kuboresha hali ya ikolojia ya eneo la ziwa hilo. Kwa kupitia kutumia vya kutosha maji yanayojazwa tena kutoka Mto Manjano wakati huohuo kudhibiti vikali vyanzo vya uchafuzi wa mazingira, hali ya ikolojia ya ziwa hilo imekuwa ikiboreka mwaka hadi mwaka.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha