Xi na Kim waahidi kurithisha kizazi hadi kizazi urafiki mkubwa wa jadi kati ya China na DPRK

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 10, 2026

Xi Jinping, Rais wa China ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akitoa heshima kwenye Mnara wa Urafiki kati ya China na DPRK akiwa na mkewe Peng Liyuan, wakiambatana  na Kim Jong Un, Rais wa Kamati ya Mambo ya Kitaifa ya Jamhuri ya Watu ya Kidemokrasia ya Korea (DPRK) ambaye pia ni katibu mkuu wa Chama cha WPK, akiwa na mke wake Ri Sol Ju, mjini  Pyongyang, DPRK, Juni 9, 2026. (Xinhua/Ding Haitao)

Xi Jinping, Rais wa China ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akitoa heshima kwenye Mnara wa Urafiki kati ya China na DPRK akiwa na mkewe Peng Liyuan, wakiambatana na Kim Jong Un, Rais wa Kamati ya Mambo ya Kitaifa ya Jamhuri ya Watu ya Kidemokrasia ya Korea (DPRK) ambaye pia ni katibu mkuu wa Chama cha WPK, pamoja na mke wa Kim, Ri Sol Ju, mjini Pyongyang, DPRK, Juni 9, 2026. (Xinhua/Ding Haitao)

PYONGYANG - Xi Jinping, Rais wa China ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), na Kim Jong Un, Rais wa Kamati ya Mambo ya Kitaifa ya Jamhuri ya Watu ya Kidemokrasia ya Korea (DPRK) ambaye pia ni katibu mkuu wa Chama cha Worker cha Korea (WPK) wamekubaliana kwamba nchi hizo mbili zinapaswa kurithisha kizazi hadi kizazi urafiki wao mkubwa wa jadi.

Jana Jumanne Xi alitoa heshima kwenye Mnara wa Urafiki kati ya China na DPRK akiwa na mkewe Peng Liyuan, wakiambatana na Kim na mkewe Ri Sol Ju.

Xi na Kim pia wamekubaliana kwamba miaka ambayo China na DPRK zilipigana vita bega kwa bega katika miaka ya 1950 ni kumbukumbu za pamoja za kihistoria za daima milele kwa pande zote mbili.

Viongozi hao wawili wameahidi kuhifadhi kwa pamoja majengo ya ukumbusho wa wahanga wa Jeshi la Kujitolea la Watu wa China (CPV), kuanzisha miradi maalum juu ya desturi za mapinduzi na elimu ya vijana, na kurithisha moyo mkubwa wa Vita vya Kupinga Uchokozi wa Marekani na Kuisaidia Korea.

Jumanne asubuhi, Xi, akiambatana na Kim, walitembelea Shule ya Mafunzo ya Makada ya Kamati kuu ya Chama cha WPK mjini Pyongyang.

Kwenye sehemu yenye miti mingi kati ya majengo ya mafunzo, Xi na Kim walipanda mti wa fir kwa pamoja. Mti huo wa fir hubaki kuwa wa kijani mwaka mzima, hali ambayo inaashiria urafiki wa kudumu na unaoonekana kuwa na hali mpya kila wakati kati ya China na DPRK.

Xi Jinping, akinyoosha utepe kwenye kikapu cha maua wakati akitoa heshima kwenye Mnara wa Urafiki kati ya China na DPRK akiwa na mkewe Peng Liyuan, wakiambatana na Kim Jong Un, na mke wakeRi Sol Ju, mjini Pyongyang, DPRK, Juni 9, 2026. (Xinhua/Ding Haitao)

Xi Jinping, akinyoosha utepe kwenye kikapu cha maua wakati akitoa heshima kwenye Mnara wa Urafiki kati ya China na DPRK akiwa na mkewe Peng Liyuan, wakiambatana na Kim Jong Un, na mke wake Ri Sol Ju, mjini Pyongyang, DPRK, Juni 9, 2026. (Xinhua/Ding Haitao)

Xi Jinping, akinyoosha utepe kwenye kikapu cha maua wakati akitoa heshima kwa Mnara wa Urafiki kati ya China na DPRK akiwa na mkewe Peng Liyuan, wakiambatana na Kim Jong Un, na mke wake Ri Sol Ju, mjini Pyongyang, DPRK, Juni 9, 2026. (Xinhua/Xie Huanchi)

Xi Jinping, akiingia kwenye ukumbi wa mihadhara wa Shule ya Mafunzo ya Makada ya Kamati kuu ya Chama cha WPK akiwa ameambatana na Kim Jong Un, mjini Pyongyang, DPRK, Juni 9, 2026. (Xinhua/Yao Dawei)

Xi Jinping, akiingia kwenye ukumbi wa mihadhara wa Shule ya Mafunzo ya Makada ya Kamati kuu ya Chama cha WPK akiwa ameambatana na Kim Jong Un, mjini Pyongyang, DPRK, Juni 9, 2026. (Xinhua/Yao Dawei)

Xi Jinping na Kim Jong Un, kwa pamoja wakipanda mti wa fir katika  sehemu yenye miti mingi kati ya majengo ya mafunzo ya Shule ya Mafunzo ya Makada ya Kamati kuu ya Chama cha WPK mjini Pyongyang, DPRK, Juni 9, 2026. (Xinhua/Yan Yan)

Xi Jinping akipeana mkono na Kim Jong Un, baada ya kuwa wamepanda mti wa fir kwa pamoja katika  sehemu yenye miti mingi kati ya majengo ya mafunzo ya Shule ya Mafunzo ya Makada ya Kamti kuu ya Chama WPK mjini Pyongyang, DPRK, Juni 9, 2026. (Xinhua/Yan Yan)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha