Ujenzi wa Kituo cha Reli cha Mashariki cha Xi’an cha  Mkoa wa Shaanxi, China waingia kipindi cha mwisho (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 16, 2026
Ujenzi wa Kituo cha Reli cha Mashariki cha Xi’an cha  Mkoa wa Shaanxi, China waingia kipindi cha mwisho
Picha hii iliyopigwa Juni 15, 2026 ikionyesha hali ya nje ya Kituo cha Reli cha Mshariki cha Xi’an katika Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China. (Picha na Liu Xiang/Xinhua)

Ujenzi wa Kituo cha Reli cha Mashariki cha Xi’an katika Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China umeingia katika kipindi cha mwisho baada ya mapambo yake ya ndani na nje kukamilika. Kituo kicho, ambayo ni kituo kikubwa cha usafiri kaskazini magharibi mwa China, ni sehemu ya reli ya mwendo-kasi ya Xi'an-Shiyan na ina huduma za reli, metro, na basi.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha