Rais wa Myanmar awasili Beijing kwa ziara ya kiserikali

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 16, 2026
Rais wa Myanmar awasili Beijing kwa ziara ya kiserikali
Rais wa Myanmar Min Aung Hlaing akiwasili Beijing, mji mkuu wa China, Juni 15, 2026. (Xinhua/Dai Tianfang)

Kwa mwaliko wa Rais wa China Xi Jinping, Rais wa Myanmar Min Aung Hlaing amewasili Beijing mji mkuu wa China Jumatatu kwa ziara ya kiserikali nchini China kuanzia Juni 15 hadi 19.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha