Mashindano ya mbio za farasi yaanza katika Mkoa wa Xizang nchini China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2026
Mashindano ya mbio za farasi yaanza katika Mkoa wa Xizang nchini China
Picha hii ikionesha hafla ya kuanza kwa mashindano ya mbio za farasi katika Wilaya ya Amdo, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, Kusini Magharibi mwa China, Julai 23, 2026. (Xinhua/Tenzin Nyida)

Mashindano ya mbio za farasi yameanza katika Wilaya ya Amdo, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, Kusini Magharibi mwa China jana Alhamisi, ambapo maonyesho murua na shughuli za mbio za farasi vinafanyika katika hali motomoto.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha