Lugha Nyingine
Kampuni ya nishati mpya ya China yajenga kwa bidii muundo mpya wa uzalishaji wa kutumia AI (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 27, 2026
Tofauti na viwanda vya jadi, Kampuni ya Kiwanda cha Nishati Mpya ya Sigenergy cha Nantong mjini Nantong, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China imepiga hatua kubwa kutoka "otomatiki ya pointi moja" hadi "AI ya kushiriki kwenye mchakato mzima." Kila kifaa muhimu katika kiwanda hicho kimeunganishwa na intaneti ya viwanda, na hivyo kutimiza ujumuishaji halisi wa "AI + nishati."
Sigenergy ni moja ya kampuni za viwanda za nishati mpya za China ambazo zinafuata uvumbuzi wa kiteknolojia na kujenga kwa bidii muundo mpya wa uzalishaji wa kutumia AI.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




