Kituo cha Kimataifa cha Mikoko chazinduliwa Shenzhen, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 27, 2026
Kituo cha Kimataifa cha Mikoko chazinduliwa Shenzhen, China
Picha iliyopigwa Julai 26, 2026 ikionesha hafla ya kufunguliwa kwa mkutano wa kwanza wa baraza la Kituo cha Kimataifa cha Mikoko huko Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China. (Xinhua/Liang Xu)

SHENZHEN - Mkutano wa kwanza wa baraza na hafla ya kuzinduliwa kwa Kituo cha Kimataifa cha Mikoko vimefanyika Shenzhen mkoani Guangdong Kusini mwa China jana Jumapili.

Wawakilishi kutoka nchi wanachama, nchi watia saini na taasisi ya waangalizi ya kituo hicho walihudhuria mkutano huo, ambapo mfululizo wa nyaraka za taasisi zikiwemo mpango wa mkakati na kanuni za utaratibu wa uendeshaji zimepitishwa, na pia kumteua katibu mkuu wa kituo cha kimataifa cha mikoko. Na Ofisi ya Sekretarieti ya kituo hicho imewekwa rasmi katika mji wa Shenzhen.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha