Mabalozi na maofisa waandamizi wa kidiplomasia watembelea Hainan Kusini mwa China kujionea uvumbuzi wa teknolojia na maendeleo ya FTP (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 27, 2026
Mabalozi na maofisa waandamizi wa kidiplomasia watembelea Hainan Kusini mwa China kujionea uvumbuzi wa teknolojia na maendeleo ya FTP
Mabalozi na maofisa waandamizi wa kidiplomasia wakitembelea Kituo cha Sayansi ya Vyombo vya Anga ya Juu cha Wenchang, mkoani Hainan, kusini mwa China, Julai 24, 2026. (Xinhua/Yang Guanyu)

Kutokana na mwaliko wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China, mabalozi na wanadiplomasia waandamizi zaidi ya 30 walitembelea Sanya, Wuzhishan, Qionghai, Wenchang na Haikou katika Mkoa wa Hainan kusini mwa China kuanzia Jumatano hadi Jumamosi wiki iliyopita. Katika ziara hiyo, walijionea uvumbuzi wa teknolojia wa mkoa wa Hainan, na maendeleo ya Bandari ya Biashara Huria ya Hainan.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha