Shughuli za matangazo zafanyika wakati wa kubaki siku 100 kabla ya kufunguliwa kwa Maonesho ya 9 ya Uagizaji wa Bidhaa ya China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2026
Shughuli za matangazo zafanyika wakati wa kubaki siku 100 kabla ya kufunguliwa kwa Maonesho ya 9 ya Uagizaji wa Bidhaa ya China
Mfanyabiashara mshiriki wa maonesho ya bidhaa akizungumza na mfanyakazi kwenye shughuli ya Kutangaza na Kuonesha Bidhaa ya Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Kitaifa (Shanghai), ambapo ni ukumbi mkuu wa Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE), huko Shanghai, mashariki mwa China, Julai 27, 2026. (Xinhua/Fang Zhe)

SHANGHAI -Mfululizo wa shughuli, zikiwa ni pamoja na mkutano na waandishi wa habari, shughuli ya kutangaza na kuonesha bidhaa, na hafla ya kutia saini Maonyesho ya 10 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE), zimefanyika kwenye Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Kitaifa (Shanghai) jana Jumatatu, zikionesha bado zimebaki siku 100 kabla ya kufunguliwa kwa Maonesho ya 9 ya Uagizaji bidhaa ya China.

Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamepangwa kufanyika Shanghai mashariki mwa China kuanzia Novemba 5 hadi 10.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha