Lugha Nyingine
Wapenda Tai Chi kutoka nchi mbalimbali wafanya uzoefu wa Michezo ya Wushu ya China huko Chenjiagou Henan
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2026
Katika majira ya joto mwaka huu, wapenda Tai Chi wengi kutoka nchi mbalimbali wamefika Chenjiagou, kijiji kidogo katika Mkoa wa Henan katikati mwa China ambako ni chimbuko la michezo ya Tai Chi, wakifanya uzoefu wa kucheza mchezo wa Tai Chi nakujihisi utamaduni wa Michezo ya Wushu ya China.
Chanzo cha mchezo wa Tai Chi kilitokana na falsafa, matibabu ya jadi ya China na michezo ya Wushu ya China, imeendelezwa na kuwa ya aina mbalimbali za mitindo ya michezo, ambayo hivi sasa imekuwa na mashabiki wengi wanaofanya mazoezi katika nchi na maeneo zaidi ya 180, na kwa jumla wacheza mchezo wa Tai Chi wamefikia mamia ya mamilioni ya duniani kote.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




