Lugha Nyingine
China yashuhudia kushamiri kwa utalii wa watalii kutoka nje katika majira ya joto mwaka huu kutokana na sera za msamaha wa visa
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2026
![]() |
| Watalii kutoka Misri wakipiga picha za selfie mbele ya Ukumbi wa Maombi ya Mavuno Mema kwenye Bustani ya Hekalu la Mbinguni, Beijing, mji mkuu wa China, Julai 28, 2026. (Xinhua/Ju Huanzong) |
Kutokana na sera za kutoa msamaha wa visa kwa kuingia nchini, China imeshuhudia kuongezeka kwa idadi ya watalii wa kigeni wanaotembelea China katika majira ya joto ya mwaka huu. Kwa mujibu wa takwimu rasmi, asilimia 77.7 ya watalii hao wa kigeni walioingia China katika nusu ya kwanza ya mwaka huu walifurahia sera za kuingia kwa msamaha wa visa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




