Kampuni za China zashiriki kwenye Maonyesho ya Umeme na Nishati ya Afrika na Maonyesho ya Nishati ya Jua ya Afrika (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2026
Kampuni za China zashiriki kwenye Maonyesho ya Umeme na Nishati ya Afrika na Maonyesho ya Nishati ya Jua ya Afrika
Picha hii iliyopigwa Julai 29, 2026 ikionesha mweonekano wa nje ya Maonyesho ya Umeme na Nishati ya Afrika na Maonyesho ya Nishati ya Jua ya Afrika jijini Nairobi, Kenya. (Xinhua/Liu Qiong)

Kampuni mbalimbali za China zinashiriki kwenye Maonyesho ya Umeme na Nishati ya Afrika na Maonyesho ya Nishati ya Jua ya Afrika yanayofanyika kuanzia Tarehe 29 hadi 31 Julai jijini Nairobi, Kenya.

Kampuni hizo zinaonesha teknolojia mpya na uvumbuzi katika umeme unaozalishwa kwa nishati ya jua, uhifadhi wa nishati na zana na vifaa vya umeme ili kusaidia kuhimiza miundombinu ya nishati barani Afrika ipandishwe ngazi mpya. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha