Lugha Nyingine
Kazi za kuokoa na kutoa msaada kwa nguvu zote zaendelea wakati Kimbunga Pomboo kikikumba maeneo mengi ya mashariki na katikati mwa China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2026
Mvua kubwa na mafuriko yaliyosababishwa na Kimbunga Pomboo, kimbunga cha 13 cha mwaka huu, yamekumba maeneo mengi ya mashariki na katikati mwa China. Serikali za mitaa za maeneo hayo zinafanya juhudi kwa ziwezavyo kuondoa hatari zinazoweza kutokea na kuyafanya maisha ya watu kurudia katika hali ya kawaida.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




