Mji wa Bijie waendeleza shughuli za kupigakambi za magari ya RV ili kuchochea utalii wa majira ya joto mkoani Guizhou, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 14, 2026
Mji wa Bijie waendeleza shughuli za kupigakambi za magari ya RV ili kuchochea utalii wa majira ya joto mkoani Guizhou, China
Mtangazaji wa matangazo ya moja kwa moja mtandaoni akilielezea gari moja mfano wa nyumba (gari la RV) kwenye kituo cha kupigia kambi za magari ya RV huko Bijie mkoani Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Agosti 11, 2026. (Xinhua/Tao Liang)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Bijie wa Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China umetumia vivutio vyake vya mazingira ya asili na hali ya hewa nzuri ya milimani kwa kuhimiza maendeleo ya vituo vya kupigia kambi kwa magari ya RV (magari ya mfano wa nyumba) na kuchochea utalii wa majira ya joto, hali ambayo imevutia wasafiri wa kutumia magari ya RV kutoka sehemu mbalimbali za China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha