Tamasha la Nadam lafunguliwa katika Ligi ya Hinggan, Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2026
Tamasha la Nadam lafunguliwa katika Ligi ya Hinggan, Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China
Watu wakifanya maonesho kwenye hafla ya kufunguliwa kwa Tamasha la Nadam katika Banner ya Jalaid ya Hinggan, Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, Agosti 16, 2026. (Picha na Wang Zheng/Xinhua)

Tamasha la Nadam limefunguliwa katika Banner ya Jalaid ya Ligi ya Hinggan, Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China jana Jumapili, likihusisha maonyesho ya ustadi wa kupanda farasi, kuimba nyimbo na kucheza ngoma, kupiga muziki wa ala na kufanya maonyesho ya kijadi ya kabila.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha