Mji wa Xiamen wafungamanisha mali za urithi wa kijadi kwenye maisha ya hivi sasa na kuwa na sehemu mbalimbali za kitamaduni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 24, 2026
Mji wa Xiamen wafungamanisha mali za urithi wa kijadi kwenye maisha ya hivi sasa na kuwa na sehemu mbalimbali za kitamaduni
Watu wakitembelea Jumba la Maonyesho ya Muziki wa Filamu wa China kwenye Kisiwa cha Gulangyu cha Xiamen, mkoani Fujian, kusini mashariki mwa China, Agosti 22, 2026. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Mji wa Xiamen umetumia vya kutosha mali zake nyingi za urithi za historia na utamaduni, na umefanya juhudi za kufungamanisha mali hizo katika maisha ya watu ya hivi sasa, na kuendeleza sehemu mbalimbali za kitamaduni ambazo a zinaunganisha mila na desturi za kale na mitindo ya kisasa.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha