Lugha Nyingine
Meli za uvuvi zafunga safari kuelekea Bahari ya Manjano kuvua samaki baada ya marufuku ya uvuvi kuondolewa mkoani Jiangsu, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 13, 2026
Meli za uvuvi zilizopewa kibali maalumu zimeanza safari kuelekea Bahari ya Manjano kuvua samaki baada ya marufuku ya kuvua wakati wa majira ya joto kuondolewa kwa sehemu fulani jana Jumatano, Agosti 12 katika Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. Kuondolewa kwa marufuku hayo kuliahirishwa kwa wiki moja kutokana na athari za Kimbunga Pomboo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




