Lugha Nyingine
Chuo cha Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi, Kenya chafanya shughuli ya Siku ya mwaka ya kufunguliwa (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 03, 2026
![]() |
| Wanafunzi wakionyesha kazi zao za kuandika maandiko ya neno la Kichina kwenye Chuo cha Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi jijini Nairobi, Kenya, Septemba 1, 2026.(Xinhua/Xie Jianfei) |
Chuo cha Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya kinafanya shughuli yake ya mwaka ya Siku ya Kufunguliwa kuanzia Tarehe Mosi hadi 4, Septemba. Chuo hicho kianzishwa mwaka 2005, ni chuo cha kwanza cha Confucius barani Afrika.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




