Maonyesho ya 26 ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya China kufanyika Xiamen (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 08, 2026
Maonyesho ya 26 ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya China kufanyika Xiamen
Bidhaa za mianzi kutoka Mji wa Shaowu wa Mkoa wa Fujian zikionekana kwenye Maonyesho ya 26 ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya China (CIFIT), huko Xiamen mkoani Fujian, kusini mashariki mwa China, Septemba 7, 2026. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Maonyesho ya 26 ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya China (CIFIT) yanafanyika Xiamen mkoani Fujian, kusini mashariki mwa China kuanzia leo tarehe 8 hadi 11 mwezi huu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha