Maonesho ya Biashara ya Huduma ya China 2026 yafanya maandalizi ya mwisho na kuwapokea waandishi wa habari mjini Beijing (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2026
Maonesho ya Biashara ya Huduma ya China 2026 yafanya maandalizi ya mwisho na kuwapokea waandishi wa habari mjini Beijing
Waandishi wa habari wakifahamishwa kuhusu kifaa cha kukusanya data za mtu binafsi kwenye shughuli ya kuwapokea waandishi wa habari ya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2026 (CIFTIS), Beijing, Septemba 8, 2026. (Xinhua/Zhang Yuwei)

Maonesho ya Biashara ya Huduma ya Kimataifa ya China 2026 (CIFTIS 2026) yamefanya shughuli ya kuwapokea waandishi wa habari mjini Beijing jana Jumanne. Maonesho hayo ya mwaka huu yanatazamiwa kufunguliwa Beijing kuanzia leo tarehe 9 hadi 13 Septemba, ambapo wafanyabiashara kutoka nchi zaidi ya 90 na mashirika ya kimataifa, pamoja na kampuni zaidi ya 1,800 watashiriki kwenye maonesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha