Lugha Nyingine
Kanivali ya Tamasha la 37 la Utalii la Shanghai yazinduliwa kwenye Kando ya Mto, Shanghai, China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2026
![]() |
| Kikundi cha sanaa kutoka Thailand kikitumbuiza kwenye kanivali ya Tamasha la Utalii la Shanghai jijini Shanghai, mashariki mwa China, Septemba 12, 2026. (Xinhua/Fang Zhe) |
Kanivali ya Tamasha la 37 la Utalii la Shanghai imezinduliwa kwenye Kando ya Mto mjini Shanghai, mashariki mwa China siku ya Jumamosi. Majukwaa ya kujongea barabarani zaidi ya 21 na vikundi 21 vya maonyesho vilishiriki kwenye kanivali hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




