Uvunaji wa mpunga waendelea Sichuan, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2026
Uvunaji wa mpunga waendelea Sichuan, China
Mkulima akifanya kazi shambani huko Kijiji Cha Yongfeng, Mji wa Meishan, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Septemba 14, 2026. (Xinhua/Wang Xi)

Wakulima wanaharakisha uvunaji katika msimu wa mavuno, wakiratibu matumizi ya mashine za kilimo kuvuna mpunga huko Kijiji cha Yongfeng, Mji wa Meishan, Mkoa wa Sichuan, China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha