Mwezi wakutana na Sayari ya Zuhura angani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2026
Mwezi wakutana na Sayari ya Zuhura angani
Picha hii iliyopigwa Septemba 14, 2026 ikionesha sayari ya Zuhura karibu na Mwezi angani juu ya Mji wa Jiamusi, Mkoa wa Heilongjiang wa Kaskazini Mashariki mwa China. (Picha na Chen Zhiguo /Xinhua)

Picha hizi za sayari ya Zuhura zimepigwa na wapiga picha wa shirika la habari la China, Xinhua, kutoka Mkoa wa Heilongjiang, China, zikionesha hali ya sayari hiyo kuwa karibu na Mwezi kwenye anga ya usiku siku ya  Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha