Mashamba ya mpunga yaingia kwenye msimu wa mavuno huko Heilongjiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 16, 2026
Mashamba ya mpunga yaingia kwenye msimu wa mavuno huko Heilongjiang, China
Picha iliyopigwa Septemba 13, 2026 ikionesha upinde wa mvua juu ya mashamba ya mpunga mjini Fujin, Mkoa wa Heilongjiang wa China. (Picha na Qu Yubao/Xinhua)

Hivi karibuni Mkoa wa Heilongjiang wa Kaskazini Mashariki mwa China unakumbatia msimu wa mavuno ya mpunga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha