Bandari ya Biashara Huria ya Hainan Yaamuliwa Kuwa Kituo cha Semikondakta na Chipu za China Kuelekea Soko la Dunia (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 19, 2026
Bandari ya Biashara Huria ya Hainan Yaamuliwa Kuwa Kituo cha Semikondakta na Chipu za China Kuelekea Soko la Dunia
Tarehe 18 Oktoba 2026, mfanyakazi mmoja akifuatilia na kudhibiti uzalishaji wa chipu kwenye karakana moja ndani ya Eneo la Viwanda vya Teknolojia ya Hali ya Juu la Hainan Hangxin la mji Haikou mkoani Hainan, China. (Xinhua/Guo Cheng)

Bandari ya Biashara Huria ya Hainan ikitumia vizuri sera zenye nafuu na hatua za motisha, na tena chini ya mfumo wa kisiwa kizima kuwa forodha maalumu, imefanya juhudi kubwa za kujijenga kuwa kituo cha semikondakta na chipu za China kuelekea soko la dunia nzima.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha