Lugha Nyingine
Africa CDC yaahidi kuunga mkono Kenya wakati kesi za Ebola zikiongezeka (3)
Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa Afrika (Africa CDC) kimerejea tena ahadi yake ya kuiunga mkono Kenya, wakati kesi zilizothibitishwa za Ebola zikiongezeka nchini humo.
Katika taarifa yake iliyotolewa jumamosi jioni, Africa CDC imesema utambuzi wa mapema nchini Kenya umeonyesha kazi muhimu inayofanywa na ufuatiliaji wa mawasiliano ya karibu na mgonjwa, usimamizi, na kutengwa kwa wakati katika kuzuia maambukizi na kulinda jamii.
Pia Kituo hicho kimepongeza mamlaka za Kenya kwa uongozi wake, hatua zake za haraka za afya ya umma, na mawasiliano yake wazi katika muda wote wa mwitikio.

Tamasha la 19 la Utamaduni na Utalii la A-Ma lafunguliwa Macao, China

Utandazaji wa reli waanza kwenye reli ya mwendo-kasi ya Nantong-Ningbo mkoani Jiangsu, China

Mabaki ya vivutio vya kihistoria vya Safari Ndefu mkoani Sichuan, China

Mwonekano wa kisiwa cha Liugong la eneo la mji Weihai mkoani Shandong China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
