Michezo ya Tano ya Watu wenye Ulemavu ya Asia Yafunguliwa Nagoya, Japan (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 19, 2026
Michezo ya Tano ya Watu wenye Ulemavu ya Asia Yafunguliwa Nagoya, Japan
Tarehe 18 Oktoba 2026, ujumbe wa Yemen unaingia uwanjani wakati wa ufunguzi wa michezo. (Xinhua/Jia Haocheng)

Tarehe 18 Oktoba kwa saa za huko, ufunguzi wa Michezo ya Tano ya Watu wenye Ulemavu ya Asia ulifanyika Nagoya, Japan.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha