Mji Shenyang na People's Daily Online wazindua Mpango wa Ushirikiano wa Kukuza Vipaji wa AI

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2026

Sun Hongwei, Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Mji wa Shenyang na Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni, pamoja na Fan Zhengwei, Katibu wa Kamati ya Chama na rais wa People's Daily Online, wakizindua kwa pamoja Mpango wa Ushirikiano wa Kukuza Vipaji wa AI “Ustawishaji wa kupitia Mambo ya Kidijitali na Kisasa”.

Sun Hongwei, Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Mji wa Shenyang na Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni, pamoja na Fan Zhengwei, Katibu wa Kamati ya Chama na rais wa People's Daily Online, wakizindua kwa pamoja Mpango wa Ushirikiano wa Kukuza Vipaji wa AI “Ustawishaji wa kupitia Mambo ya Kidijitali na Kisasa”.

Tarehe 17 Oktoba, Mkutano wa Ubadilishanaiji kati ya Vipaji wa Kaskazini-Mashariki mwa Asia (Shenyang) 2026 pamoja na Mkutano wa AI Kuwezesha Maendeleo ya Viwanda ulifunguliwa mjini Shenyang. Katika hafla ya ufunguzi, Sun Hongwei, Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Mji wa Shenyang na Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni, pamoja na Fan Zhengwei, Katibu wa Kamati ya Chama na rais wa People's Daily Online, walizindua kwa pamoja Mpango wa Ushirikiano wa Kukuza Vipaji wa AI “Ustawishaji wa kupitia viwanda vya Kidijitali na Kisasa.”

Mpango huu, ukitegemea Maabara ya Maoni ya Mambo Muhimu ya People's Daily Online, unatoa mitaala ya mafunzo yenye mfumo mzima, na hivyo kubonyeza “kitufe cha kuongeza kasi” katika kukuza vipaji wa AI wa Shenyang.

Kukuza nguvu mpya za uzalishaji zenye sifa bora na kusukuma mabadiliko na uboreshaji wa viwanda hakuwezi kufanyika bila msaada wa vipaji wa AI. Mpango huu wa vipaji utaleta sura mpya katika pande tatu: Kujenga mzunguko kamili wa ukuaji wa vipaji kwa kupitia kuhimiza kujumuisha rasilimali za walimu, miradi, matumizi halisi, mifano ya mafanikio na vipaji, ili kuhimiza kuungana kati ya utambuzi wa mahitaji na ugavi sahihi; Kuamsha nguvu za nyanja husika, na kuunganisha mnyororo mzima wa ukuaji chuoni, ajira katika kampuni na uwezeshaji wa sera serikali kwa kupitia mafunzo katika mazingira halisi na maabara za pamoja za vyuo na kampuni; Kujenga chapa ya kikanda, kusaidia Shenyang kujenga kituo cha vipaji wa mambo ya kidijitali na kisasa wanaofahamu kuhusu Kaskazini-Mashariki mwa Asia, na kutoa msaada imara kwa ustawishaji wa pande zote wa eneo hilo katika enzi mpya.

Katika asubuhi ya tarehe 18, People's Daily Online iliwaalika Umoja wa Wajasiliamali wa OPC wa Suzhou, na wasimamizi na wajasiliamali kutoka jumuiya ya OPC kuzindua Mpango wa Kukuza Vipaji wa OPC mjini Shenyang, ambapo miji ya Shenyang na Suzhou ilitia saini “Makubaliano ya Ushirikiano wa Kukuza Vipaji wa OPC”, ikiwa sehemu muhimu ya mpango huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha