Ndege ya C919 iliyosanifiwa na China yenyewe yafanya usafiri wake wa kwanza wa kwenda Yinchuan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 21, 2026
Ndege ya C919 iliyosanifiwa na China yenyewe yafanya usafiri wake wa kwanza wa kwenda Yinchuan
Tarehe 20 Oktoba 2026, ndege ya C919 ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Yinchuan Hedong wa mji wa Yinchuan, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, China.

Ndege hii kubwa ya C919 iliyosanifiwa na China yenyewe iliondoka mji wa Changsha, Mkoa wa Hunan, saa 11:57 jioni ya jana Jumanne, ikatua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Yinchuan Hedong. Hii ni mara ya kwanza kwa ndege ya aina hiyo kufanya usafiri wa kibiashara wa kubeba abiria kwenda Yinchuan.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha