Lugha Nyingine
Chama cha ANC cha Afrika Kusini chaendelea kuwa wanachama wengi licha ya kupungua kwa kura
(CRI Online) Novemba 09, 2026

(Picha/Xinhua)
Chama tawala cha Afrika Kusini (ANC) kimedumisha nafasi yake kama chama kikubwa zaidi cha kisiasa nchini humo katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu, licha ya kushuka kwa idadi ya watu waliokipigia kura.
Matokeo yaliyotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Afrika Kusini (IEC) jana jumapili yameonyesha kuwa ANC, kinachoongozwa na rais Cyril Ramaphosa, kimepata asilimia 30.76 ya kura zilizohesabiwa nchini kote, ikishuka kwa zaidi ya asilimia za pointi 14 kutoka uchaguzi wa mwaka 2021.
Chama kikuu cha upinzani, DA, kimepata asilimia 24.64 ya kura, huku chama cha uMkhonto weSizwe (MK) kinachoongozwa na rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma kikipata asilimia 9.76 ya kura katika uchaguzi wake wa kwanza wa serikali za mitaa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



