Lugha Nyingine
Meli ya kuvunja barafu ya China "Xuelong" yavuka Ikweta katika safari yake ya 43 ya utafiti wa Antaktika (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2026
![]() |
| Tarehe 9 Novemba 2026, watu wa timu ya 43 ya utafiti wa Antaktika ya China wakipiga picha pamoja kwenye Meli ya "Xuelong", kuadhimisha meli hiyo kuvuka Ikweta. (Xinhua/Zou Duowei) |
Meli ya kuvunja barafu ya China "Xuelong" imevuka Ikweta na kuingia katika kusini mwa dunia, ikitekeleza kazi ya 43 ya uchunguzi wa Antaktika ya China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




