Maonyesho ya urukaji wa ndege yafanyika Changchun kuadhimisha kuanzishwa kwa Jeshi la Anga la China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2026
Maonyesho ya urukaji wa ndege yafanyika Changchun kuadhimisha kuanzishwa kwa Jeshi la Anga la China
(Xinhua/Zhang Nan)

Tarehe 9 Novemba 2026, katika Mji Changchun wa Mkoa wa Jilin, kaskazini-mashariki mwa China, kikosi cha ndege "Tai Wekundu" cha kufanya maonesho kutoka Chuo Kikuu cha Mambo ya Anga cha Jeshi la Anga kilifanya maonyesho ya urukaji wa ndege katika shughuli ya kuadhimisha miaka 77 ya kuanzishwa kwa Jeshi la Anga la Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA).

Aidha, kikosi cha parachuti zenye injini pia kilifanya maonyesho Jumatatu ili kuadhimisha siku ya Tarehe 11 Novemba ya maadhimisho ya kuanzishwa kwa Jeshi la Anga la China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha