Sera ya ushuru sifuri yasaidia bidhaa za Afrika kujitokeza katika Maonyesho ya CIIE (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2026
Sera ya ushuru sifuri yasaidia bidhaa za Afrika kujitokeza katika Maonyesho ya CIIE
Tarehe 9 Novemba 2026, watembeleaji wakichagua mazao ya kilimo katika banda la Kenya kwenye Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China yanayofanyika mjini Shanghai. (Xinhua/Cao Mengyao)

Katika Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China (CIIE), bidhaa mbalimbali zenye sifa ya kipekee za Afrika zimejitokeza katika sehemu tofauti za maonyesho, zikivutia watembeleaji wengi.

Kuanzia tarehe 1, Mei mwaka huu, China imeanza kutekeleza sera ya ushuru sifuri kwa nchi zote 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia nayo. Kampuni za Afrika zimeitumia vizuri fursa hii ya kisera, na ukubwa wa ushiriki wao katika maonyesho ya CIIE umeongezeka kwa hatua madhubuti. Bidhaa nyingi zaidi kutoka Afrika zimekuwa za kupatikana na kununuliwa zaidi na watumiaji wa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha