Lugha Nyingine
Daraja kuu la kuvuka-bahari la sehemu ya Xiamen ya Daraja la Xiamen-Kinmen, China launganishwa (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 11, 2026
![]() |
| Picha ikionesha daraja kuu la kuvuka-bahari la sehemu ya Xiamen ya Daraja la Xiamen-Kinmen katika Mji wa Xiamen, Mkoa wa Fujian, kusini-mashariki mwa China, Novemba 10, 2026. (Xinhua/Wei Peiquan) |
Daraja kuu la kuvuka-bahari la sehemu ya Xiamen ya Daraja la Xiamen-Kinmen katika Mji wa Xiamen, Mkoa wa Fujian, kusini-mashariki mwa China limeunganishwa jana Jumanne, hatua inayomaanisha kukamilika kwa muundo mkuu wa daraja hilo na kulifanya kuingia katika ujenzi wa kipindi cha mwisho kabla ya kuzinduliwa rasmi kwa ajili ya usafiri wa magari na utoaji huduma husika.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




