Xi Jinping atoa wito wa kuanzisha hali mpya ya maendeleo yenye sifa bora ya Eneo Kuu la Ghuba

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2026

Rais wa China Xi Jinping akitembelea kisiwa kilichojengwa na binadamu kwenye njia ya Shenzhen-Zhongshan, njia ambayo ni mradi wa kuvuka bahari unaounganisha miji ya Shenzhen, Zhongshan, na Guangzhou katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, Novemba 16, 2026. (Xinhua/Xie Huanchi)

ZHONGSHAN, Guangdong – Rais wa China Xi Jinping jana Jumatatu alitoa wito wa kusoma kwa bidii na kutekeleza kanuni elekezi zilizowekwa kwenye mkutano wa tano wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na kufanya juhudi za kuanzisha hali mpya ya maendeleo yenye sifa bora ya Eneo Kuu la Ghuba ya Guangdong-Hong Kong-Macao.

Xi, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya CPC na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), ameyasema hayo kwenye ziara yake ya ukaguzi katika Mji wa Zhongshan mkoani Guangdong, kusini mwa China.

Xi amesisitiza kutekeleza kwa pande zote na kutekeleza kwa uaminifu maamuzi na mipango vilivyofanywa kwenye mkutano huo na kutumia ipasavyo mafanikio mapya ya kujiendesha kwa Chama kwa nidhamu kali na kwa pande zote, akitaka kazi bora katikakusukuma mbele maendeleo jumuishi kando ya mlango wa Mto Pearl ("Zhujiang" katika lugha ya Kichina). 

"Kujenga Eneo Kuu la Ghuba ni mpango mkubwa wa kimkakati uliowekwa na Kamati Kuu ya CPC," amesema Xi, akitoa wito wa kutaka miji ya Guangzhou, Shenzhen, Zhuhai, Dongguan, na Zhongshan iliyoko kwenye eneo la mlango wa Mto Pearl ioneshe umuhimu ikiwa watangulizi kwenye mchakato wa kazi.

Xi ametumai kuwa Zhongshan itatumia fursa zilizopo, kuchukulia mageuzi na uvumbuzi kuwa nguvu ya kimsingi, kukamilisha mfumo wa ushirikiano wa kikanda, kujenga mazingira mazuri ya uendeshaji wa kazi, na kuhimiza kwa nguvu kubwa mafungamano ya kina ya uvumbuzi wa teknolojia na uvumbuzi wa kazi za viwanda.

Rais wa China Xi Jinping akitembelea kisiwa  kilichojengwa na binadamu kwenye njia ya Shenzhen-Zhongshan, njia ambayo ni mradi wa kuvuka bahari unaounganisha miji ya Shenzhen, Zhongshan na Guangzhou katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, tarehe 16 Novemba 2026. (Xinhua/Yan Yan)

Rais wa China Xi Jinping akitembelea  eneo la viwanda katika Mji wa Zhongshan mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 16 Novemba 2026. (Xinhua/Yan Yan)

Rais wa China Xi Jinping akitembelea eneo la viwanda katika Mji wa Zhongshan mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 16 Novemba 2026. (Xinhua/Yan Yan)

Rais wa China Xi Jinping akitembelea Jumba la Makumbusho ya Dkt. Sun Yat-sen katika Mji wa Zhongshan mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 16 Novemba 2026. (Xinhua/Yan Yan)

Rais wa China Xi Jinping akitembelea Jumba la Makumbusho ya Dkt. Sun Yat-sen katika Mji wa Zhongshan mkoani Guangdong, kusini mwa China, tarehe 16 Novemba 2026. (Xinhua/Yan Yan)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha