人民网首页Mwanzo

Kuwekeza Xinjiang, China: Kwa nini inabidi uende huko kupanda farasi?

[Mto Yuehe katika Mji wa Jiaxing, Zhejiang, China: Kuonja Jiangnan wakati wa Sikukuu ya jadi ya Duanwu] [Watu wa China wanaouza aina mpya sana za vitu vya kauri katika mji mkuu wa kauri wa miaka elfu]

Kuwekeza Henan, China: Biashara ya Urembo ya “Kichwani” inayostawi huko Henan

Takwimu zinaonesha kuwa, mawigi sita kati ya kila mawigi kumi ya nywele yanatoka Xuchang, Mkoa wa Henan wa China, ambao pia unajulikana kwa jina la “Mji Mkuu wa Mawigi Duniani.”

Pilikapilika za soko la usiku zachochea na kuhamasisha uchumi wa usiku wa Guiyang, China

Kwa Mji wa Guiyang katika Mkoa wa Guizhou, China wakati wa usiku, pilikapilika ni jambo lisiloepukika, huku kukiwa na mabanda mengi yenye vyakula vya kienyeji vya aina mbalimbali,maduka mapya ya vyakula,maduka madogo na yenye kupendeza ya vitu vya kitamaduni na kibunifu,,,yakileta pilika nyingi kote mtaani. Sehemu kubwa ya maisha ya usiku ya watu wa Guiyang huanza na vitafunwa vya usiku.…

Maonesho ya ustadi wa kupanda farasi. (Picha na Li Long/People’s Daily Online)

Kuwekeza Xinjiang, China: Kwa nini inabidi uende huko kupanda farasi?

Maonesho ya ustadi wa kupanda farasi. (Picha na Li Long/People’s Daily Online) Wakati tu ambapo Mkoa wa Xinjiang, China unaingia kwenye msimu wake wa pilikapilika za utalii za mwezi Juni, Bustani ya Kale ya Farasi Pori ya Xinjiang (kwa ufupi inajulikana kama Farasi Pori) iliyopo Urumqi, mji mkuu wa mkoa huo imevutia ufuatiliaji wa watu wengi mtandaoni.…

Picha ikionesha hali motomto ya mtaa wa chakula wa Gulio Kubwa la Kimataifa la Xinjiang wakati wa usiku. (Picha na Han Ting/People’s Daily Online)

Kuwekeza Xinjiang, China: Gulio Kubwa la Kimataifa laonesha hali motomoto ya mji

Wakati usiku unapoanza na taa kuwashwa, gulio kubwa la kimataifa la mkoani Xinjiang, China hujaa watu wengi na kuonesha hali motomoto. Kwenye Mtaa wa chakula wa Gulio Kubwa la Kimataifa la Xinjiang, China ukiwa umezungukwa na taa nzuri za mapambo, sauti za nyimbo za jadi za kabila la Wauygur zinasikika eneo zima, salamu za makaribisho ya wauzaji na mazungumzo ya wateja ni kila mahali, na nyama choma ya mbuzi, kuku pilipili na vyakula vingine mbalimbali vinaonesha picha ya maisha ya usiku ya mji yenye hali motomoto, yakivutia watalii wengi kutoka ndani na nje ya China kwenda huko kutembelea soko hilo la usiku, kuonja chakula kitamu na kujionea uzuri wa Xinjiang.…

Kuwekeza Henan, China: Biashara ya Urembo ya “Kichwani” inayostawi huko Henan

Takwimu zinaonesha kuwa, mawigi sita kati ya kila mawigi kumi ya nywele yanatoka Xuchang, Mkoa wa Henan wa China, ambao pia unajulikana kwa jina la “Mji Mkuu wa Mawigi Duniani.” Mawigi yanayozalishwa na Kampuni inayojulikana sana ya Rebecca siyo tu ni maarufu sana nchini China, bali pia katika masoko ya nje ya China, hasa katika mabara ya Amerika na Afrika.…