Lugha Nyingine
Kuondoa maji ya ndani ya mji kwa haraka (6)
(Picha zinatoka Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.) |
Tarehe 20, Julai, kutokana na mvua kubwa iliyonyesha, maafa ya mafuriko yalitokea huko mji wa Zhengzhou, mkoa wa Henan, China. Ikiwa barabara muhimu ya ndani ya mji, handaki ya barabara ya Tongbai ya kupita barabara ya Longhai ilijazwa vibaya na maji. Kikosi cha Xuzhou cha kikosi kikuu cha zimamoto na uokoaji cha mkoa wa Jiangsu kilifika huko Zhengzhou wakati wa usiku kwa kufuata amri, na kufunga vifaa ili kuondoa maji kwa kasi.
Aina nane maarufu zaidi za maua ya Yunnan hakika kuna moja inayokushangaza zaidi
Korongo wacheza kwenye uwangja wa juu hali ya viumbe yaendelea vizuri mkoani Tibet
Rasilimali ya utamaduni yasukuma mbele ujenzi wa kijiji cha kupendeza cha Luquan mjini Shijiazhuang
Mji wa Zhengzhou warudia katika hali ya kawaida ya uzalishaji na maisha
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma