Kuondoa maji ya ndani ya mji kwa haraka

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2021
Kuondoa maji ya ndani ya mji kwa haraka
(Picha zinatoka Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Tarehe 20, Julai, kutokana na mvua kubwa iliyonyesha, maafa ya mafuriko yalitokea huko mji wa Zhengzhou, mkoa wa Henan, China. Ikiwa barabara muhimu ya ndani ya mji, handaki ya barabara ya Tongbai ya kupita barabara ya Longhai ilijazwa vibaya na maji. Kikosi cha Xuzhou cha kikosi kikuu cha zimamoto na uokoaji cha mkoa wa Jiangsu kilifika huko Zhengzhou wakati wa usiku kwa kufuata amri, na kufunga vifaa ili kuondoa maji kwa kasi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha