Lugha Nyingine
Magari ya kupima Corona yatokea barabarani huko Nanjing, China (4)
(Picha zinatoka tovuti ya Gazeti la Umma.) |
Tarehe 31, Julai, 2021, magari ya kupima Corona yanapitapita mitaa mbalimbali ya makazi ya eneo la Jianye, mjini Nanjing, China, ili kupima Corona kwa wazee wasioweza kutembea vizuri na watu waliokuwa hawajawahi kufika vituo vya upimaji wa Corona wa mara ya tatu kwa wakati, na kuhakikisha kila mkazi anafanyiwa upimaji wa mara ya tatu.
Tarehe 29, Julai, 2021, upimaji wa Corona wa mara ya tatu kwa wakazi wote ulianzishwa huko Nanjing, China.
Aina nane maarufu zaidi za maua ya Yunnan hakika kuna moja inayokushangaza zaidi
Korongo wacheza kwenye uwangja wa juu hali ya viumbe yaendelea vizuri mkoani Tibet
Rasilimali ya utamaduni yasukuma mbele ujenzi wa kijiji cha kupendeza cha Luquan mjini Shijiazhuang
Mji wa Zhengzhou warudia katika hali ya kawaida ya uzalishaji na maisha
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma