Magari ya kupima Corona yatokea barabarani huko Nanjing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 02, 2021
Magari ya kupima Corona yatokea barabarani huko Nanjing, China
(Picha zinatoka tovuti ya Gazeti la Umma.)

Tarehe 31, Julai, 2021, magari ya kupima Corona yanapitapita mitaa mbalimbali ya makazi ya eneo la Jianye, mjini Nanjing, China, ili kupima Corona kwa wazee wasioweza kutembea vizuri na watu waliokuwa hawajawahi kufika vituo vya upimaji wa Corona wa mara ya tatu kwa wakati, na kuhakikisha kila mkazi anafanyiwa upimaji wa mara ya tatu.

Tarehe 29, Julai, 2021, upimaji wa Corona wa mara ya tatu kwa wakazi wote ulianzishwa huko Nanjing, China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha